mkuu h means hspa/hdspa/hsupa kwa kawaida tunapenda kuiita network ya 3g ni network yenye speed ndo mana kifurushi kinaisha mapema. sio kwamba tu inamaliza kifurushi bali pia humaliza chaji mapema.
'e' inamaanisha edge hii ni network ya slow kwa kawaida tunaiita 2g ikikaa hii chaji haiishi sana na pia kifurushi hakiishi.
kama kumbukumbu zangu zipo sawa ukitaka kuchange nenda setting then phone then network kwenye network mode eka gsm/gprs/edge ili ikae network ya slow