Al-Shabaab washambulia kambi ya Jeshi nchini Somalia

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Wanajeshi wauwawa katika shambulio la Al-Shabaab kwenye kambi ya jeshi nchini Somalia

Kiasi watu 10 wameuwawa kwenye mapigano kufuatia shambulizi la kundi la kigaidi la Alshabab ndani ya kambi moja ya kijeshi nje kidogo ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

Afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Somalia, Ahmed Guhad amesema wanajeshi wawili na mfanyakazi mmoja wa kituo cha radio cha jeshi ni miongoni mwa waliouwawa wakati wa shambulizi hilo, ambalo pia limewauwa wanamgambo 7 wa Al Shabaab.

Guhad amesema wanamgambo wenye silaha waliivamia kambi ya jeshi kutoka pande tofauti baada ya mirupiko ya kutegwa kwenye magari katika kijiji cha Awdhegle, kilometa 70 kusini ya Mogadishu.

Kwa upande wake Al shaabab imesema kupitia kituo chake cha redio kuwa wamewauwa wanajeshi kumi wa Somalia wakati wa shambulzii hilo.
 
Jeshi la AU haliwezi alshababu itabidi watafute mbinu zingine za Amani kupata suluhisho la kudumu hapo Somalia
 
Kwa hiyo hilo Jeshi limeshindwa kabisaa kuwa na mafanikio kwa hilo kundi au ndio vita siasa ndani ya nchi
 
Wanajeshi wauwawa katika shambulio la Al-Shabaab kwenye kambi ya jeshi nchini Somalia

Kiasi watu 10 wameuwawa kwenye mapigano kufuatia shambulizi la kundi la kigaidi la Alshabab ndani ya kambi moja ya kijeshi nje kidogo ya mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

Afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Somalia, Ahmed Guhad amesema wanajeshi wawili na mfanyakazi mmoja wa kituo cha radio cha jeshi ni miongoni mwa waliouwawa wakati wa shambulizi hilo, ambalo pia limewauwa wanamgambo 7 wa Al Shabaab.

Guhad amesema wanamgambo wenye silaha waliivamia kambi ya jeshi kutoka pande tofauti baada ya mirupiko ya kutegwa kwenye magari katika kijiji cha Awdhegle, kilometa 70 kusini ya Mogadishu.

Kwa upande wake Al shaabab imesema kupitia kituo chake cha redio kuwa wamewauwa wanajeshi kumi wa Somalia wakati wa shambulzii hilo.
Alshababu wanajiita washika dini ya haki huku wakiua watu pumbafuuu zao
 
Kwani Dini inakataza kuua wavamizi wa nchi yako?.....nasisi Tz Amini alivo tuvamia tuliuua wanajeshi wako tukawafuata paka makwao
Sasa mbona wanaua Waislam wenzao kilasiku mahospitalini sokoni misikitini. Idadi kubwa ya wanaouliwa na alshabab ni waSomali ambao hawana hatia na wote ni waislam
 
Anae saidia adui yako pia ni adui wako au msaliti,hata akiwa ndugu yako.....ndomaana na wa somali wengine wa waua na alshababu
 
Back
Top Bottom