Mpaka sasa askari wa Kenya waliouawa na al shabaab ni watatu, waliokufa kwa ajali ya ndege ni watano,mmoja alipotea kwenye bahari ya Hindi na majeruhi ni watatu wapo hospital wanatibiwa. Source: Statistics toka kwa msemaji wa jeshi la Kenya-Citizen TV.