Yale mawazo anayofikiria mtu.''Nimefanyiwa uovu mkubwa sana,sijui nimefanya kosa gani. Nashukuru. Namwachia Mungu.'',Mawazo kama hayo ndiyo yanasababihwa ardhi inatingishika,yale mambo aliyosema Mtu Muhammad,kwamba watu wanasema uongo mpaka Mbingu na ardhi vinatingishika.