Wizara ya mambo ya ndani Dar es salaam,ukifika muulizie igp Mwema itakupa maelekezo.Tz office zao ziko wapi, i am jobless
Tz office zao ziko wapi, i am jobless
Wapenzi wa mungu aitwaye Allah![h=1][/h]New leader ... Ayman al-Zawahiri, left, with Osama Bin Laden in Afghanistan
utapata tabu sana kwa kuwa wewe tu against the truthtumechoka na upuuzi wao.nani kamchagua?.
the report can not be authenticated by cnn.kila siku huwa wanaweka kibwagizo hicho wao na bbc na aljazeera. Wajinga wakubwa hawa!,wanajua kuwa wanasema uongo.
Marekani haiwezi kusema alqaeda imekufa kwa kufa osama kwa sababu itakosa visingizio vya kuua na kuvamia nchi zenye waislamu.
Hili jina la zawaahir ni mfungwa litatumika na hatimae siku ikifika litauliwa kama mnyama wa kufugwa anavyochinjwa siku yake ikifika.
Ukisikia pakistan imekamata cia au zawaahir hivi na vile ni usanii wao tu kukoleza uongo wa kuuliwa osama abbottabad kitu ambacho naweza kuapa hakikutokea.
kipengele cha uwongo wa wazi.
1.the statement cannot be authenticated by cnn, but it appeared on radical islamist sites known for posting similar statements and recruitment videos by other al qaeda figures
iko wapi hiyo website,hata siku moja basi hamtutajii!.ikiwa mnaoiona nyinyi tu basi si website ni computer.ingekuwa kuna kundi la alqaida kweli lenye malengo hayo hawawezi kuzuia search engines zisitembelee website zao,kinyume chake inamaana gani kupost kitu cha kuona wenyewe.
Cia mbona mnatufanya binadamu kama bata!.ikiwa mmeshindwa kujitetea na habari za osama msijigaragaze kwa uongo kiasi hiki.
Truth iko wapi ndugu yangu Edward?.Mbona dalili za uongo ni nyingi kuliko kweli!.utapata tabu sana kwa kuwa wewe tu against the truth
basi ndugu yangu-ngoja tuone response ya huyo wanaesema kuwa ni kiongozi mpya kama atatoa tamko juu ya hilitruth iko wapi ndugu yangu edward?.mbona dalili za uongo ni nyingi kuliko kweli!.
Tabu iko wapi kutupatia ayman akizungumza mwenyewe kuhusu kifo cha osama,iko wapi tabu kutueleza website zinazopost habari za alqaeda?.jee hizo website host wao ni nchi gani ambako amerika haina ushawishi wa kuwafuata na kupata taarifa zote za wahusika wakuu.
Zaidi ni kuwa wanaopata tabu ya kweli ni wale wenye kukubali kila wanachoambiwa.
teh! teh!Huyu naye atatumbukizwa Baharini. I like this new style ya kuzika hawa islamist. Zamisha baharini wakaliwe na Papa.
Tumechoka na upuuzi wao.Nani kamchagua?.
The report can not be authenticated by CNN.kila siku huwa wanaweka kibwagizo hicho wao na bbc na aljazeera. Wajinga wakubwa hawa!,wanajua kuwa wanasema uongo.
Marekani haiwezi kusema Alqaeda imekufa kwa kufa Osama kwa sababu itakosa visingizio vya kuua na kuvamia nchi zenye waislamu.
Hili jina la Zawaahir ni mfungwa litatumika na hatimae siku ikifika litauliwa kama mnyama wa kufugwa anavyochinjwa siku yake ikifika.
Ukisikia Pakistan imekamata CIA au Zawaahir hivi na vile ni usanii wao tu kukoleza uongo wa kuuliwa Osama Abbottabad kitu ambacho naweza kuapa hakikutokea.
kipengele cha uwongo wa wazi.
1.The statement cannot be authenticated by CNN, but it appeared on radical Islamist sites known for posting similar statements and recruitment videos by other al Qaeda figures
iko wapi hiyo website,hata siku moja basi hamtutajii!.ikiwa mnaoiona nyinyi tu basi si website ni computer.Ingekuwa kuna kundi la alqaida kweli lenye malengo hayo hawawezi kuzuia search engines zisitembelee website zao,kinyume chake inamaana gani kupost kitu cha kuona wenyewe.
CIA mbona mnatufanya binadamu kama bata!.Ikiwa mmeshindwa kujitetea na habari za Osama msijigaragaze kwa uongo kiasi hiki.
Hahahahahahaha lolTz office zao ziko wapi, i am jobless