Aljazeera wana weakness ya kuwa na bias katika baadhi ya taarifa zao sio zote lakini, japo ndio chanzo changu kikuu cha taarifa za kivita huko Gaza maana wameipa full coverage hiyo vita huko field tofauti na vyombo vingine. Nawapa big up sana Aljazeera, wanaupiga mwingi huko field vitani.