Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Naangalia Al Jazeera ,wanaonyesha documentary ya uharibifu uliofanywa na vita na Israel...sasa hawa wapalestina wanapasuliwa namna hii bado wanakomaa tu ..hawa watu vipi hawa? Yaani kuna sehemu inaitwa Khuzaa imefutika kabisa hakuna hata nzi wala mbu anayeruka lakini bado tu wako busy na hizo sijui alahu wakibaru