Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
kuna mi uto kibao tunaimbaiaga mkubwa ni mkubwa tu inabisha hadi mishipa ya shindo inasimama, Simba na yeye ni mkubwa tu pamoja na kupigwa 3 na Raja usije ukastuka Esperance naye anakalia kimoko.
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Al Ahaly ni sawa na Real Madrid wakishafikaga hatua za robo fainali, mbali na kubadilika tu kisoka ila pia huwa wanafika fainali na kunyanyua kombe kabisa.