Akumbukwe: Abdi Banda

Akumbukwe: Abdi Banda

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,376
Reaction score
5,471
Beki kitasa alichezea mikia akaondoka kwa maneno sana kwenda SA kama sijakosea .yu wapi sasa? Mbona haitwi team ya Taifa?
 
Alimuoaga dada ake kiba sijui mwaka jana nikaona anaoa tena
Msearch instagrama hutomkosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom