duh ...watu waongo jamani.
hii ni akon alipofanya show trinadad and tobaco.......hebu ona hapo bendera nyukundu na stripes nyeusi!
huyo mtoto alikuja kujuulikana kuwa ana miaka 14 au 16 ( nimesahau kwa kuwa ni habari ya siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
msizue jamani...akkkkr