Akisababisha ajali, bamiza simu yake

Akisababisha ajali, bamiza simu yake

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,677
​
Ushawakuta wale wajamaa wanaotumaga mesej huku wanaendesha magari? Basi hawa mbulula hawako huku tu, cheki video ya mbulula aliyesababisha ajali kutokana na Samsung Galaxy yake.
Utata ninao jiuliza ni kuwa mbongo hata kama kasababisha ajali kwa simu yake, ukimnyang'anya simu yake ukaibamiza chini, nini kitafuata?
 
Haswaaa hiko ndo kilichokuwa kinamhashua mpaka akasababisha ajali muache akomeshwe...
 
hee jamani si mtauana bure kisa simu mambo gani haya kwenye hii video?
ningekuwa mm ningemwacha kwani huyo ni mpenda vita vya kisodoma

Back
Top Bottom