akirudi ntagunduaje

tumia micrometer screw gauge au veneer caliper pima diameter
 
***Hivi hakuna kitu cha kufikiria zaidi ya hilo tundu***?
 
mh.....kwa watoto wa mjini wewe tulia tu upewe papuchi...
 

aisee,siku nyingine kabla hajaondoka uwe unapima na tape measure halafu unarekodi kwenye diary yako.akiridi unapima tena na kulinganisha vipimo.ukikuta ukubwa umeongezeka tu basi ujue kaliwa
 
Aiseee Mushi bado upo!!!

Mbona ameomba samahani kabla..

Au ndiyo wewe mshukiwa hahaha 🙂


ha ha ha ha! hajui hiyo kitu inapigwa asubuhi na yeye anapiga mchana bila hata kujua km iliguswa.............
 
Hapo kazi...coz akija atakuwa ameshaoga na yuko safi. Kwa kisayasi zaidi chunguza wingi wa mbegu akimwaga kwani huwa zinakuwa kidogo zikiwa zinatokatoka. Kama ukiona nyingi jua akuzitumia.

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
kama ni............
 
du shida yote ya nini? cha msingi arudi salama hasipate ajali. hizo papuchi zipo tu, kupigiwa kawaida tu, na mtu mwenyewe humuamini sasa kwanini unaumiza kichwa?
 
Mbona huulizi utajuaje kama chuchu zimenyonywa na mdomo umepigwa kiss?
 
huwezi jua kama aliingiliwa wewe vumilia tu ila cha muhimu kama humuamini basi bora uachane nae kuliko kuishi kwa mashaka
 
We Mangi ulikosea kuoa mhaya. Huyo lazima wahaya wenzake wamempiga katerero. Hii tekinoloji nyie wachaga hamuijui.
 
GEORGEALLEN umetisha mkuu yani kupigiwa katerero tena?mbona kwa mtaji huu uyu mwanamke atanletea mshtuko wa moyo na vijambo vingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…