Akipitishwa Lowassa,itakuwa utata

Akipitishwa Lowassa,itakuwa utata

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
 
Umesema kweli Mzee tupatupa.mpitisheni tu muone mafuriko ya UKAWA
 
Mtaharisha sana mwaka huu.Atembee na mic amekuwa Diamond? Mnaweweseka nini? Mnaogopa nini?
 
wasalimie bawacha wenzako hapo mtaa wa ufipa kinondoni.

Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
 
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)

Lowasa hauziki kwako lakini kwa Watanzania anauzika,Acha unafiki wako wewe mchumia tumbo wa Ufipa
 
LowAsa hana jipya mwaka huu mtatema cheche tangia nianze kuangalia TV cjawah kumwona au kusikia akichangia hoja bungeniii maccm mwaka huu kwishineee wote waliotangaza nia ndo hivo ubunge umepita pembeni na urais watakimbiliaa njee mwaka huu na hamna kupewa ubaloziii wala nn maan serikali ya awamu zote zinazofuata zitaongozwa na UKAWA
 
Mzee tupatupa aka Billal Saadat ... unahangaika bureee
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)
 
Ukawa ombeni mara dufu Mamvi apite,ili iwe mtelemko
 
Kuhusu Mh Lowasa ndg Nape alishamaliza au kufunga mjadala "kuchagua mgombea ambae anahitaji kusafishwa kwa dodoki ni kutafuta kushindwa uchaguzi".
 
Sita. Lowassa hali yake ya kiafya siyo nzuri, hawezi kuhimili vishindo na mikikimikiki ya kampeni.
Ref. mkulu alivoanguka jukwaani ingawa yeye alionekana afadhali kiafya.
 
Kama CCM yetu itampitisha Edward N. Lowassa,kutajitokeza utata wa kisiasa na kiuchaguzi. Kwanza,Lowassa hana uwezo wa kuhutubia papo kwa papo. Lazima aandike. Amedhihirisha hilo Arusha.

Pili,Lowassa hataweza kutumia mic ya kukamata mkononi na kutamba nayo jukwaani. Hadhira itajazwa tu hasira. Hili pia limejidhihiri Arusha.

Tatu,Lowassa hawezi maswali ya papo kwa papo. Punde tu ameukimbia Mdahalo wa Mafuruki. Pia,alipotea kujibu maswali Clouds FM ingawa wapambe wake walijinadi kuwepo kwa suala hilo.

Nne,Lowassa amechafuka. Rushwa na ufisadi vinamzonga na vitampotezea stamina wakati wa kampeni.Utata. Tano,Lowassa hauziki. Ni utata mtupu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Tabora)

La kuvunda halina ubani
 
Mzee wangu waliojitokeza hakuna hata msafi,wote wamelowa tope la wizi ,rushwa na ufisadi.Kwenye Wizara ya Maembe si ndiko hata airticket imekuwa inflated?Sasa wapi palipo pa safi?Kwa Muhongo ndiko kulikoanzia ESCROW,Kwa Ngereja Richmond sasas sielewi yupi aliyemsafi,Sitta kama angewasikiliza watanzania wakati wa Bunge la Katiba kidogo angeweza kuuzika lakini kama ilivyodesturi sikio lakufa halisikii dawa.........

Unaongelea UFISADI nk nk na kufuata sheria za kuzuia wizi wa raslimali za TAIFA wakakti amezipigania ziondoke kwenye RASIMU YA WARIOBA,hebu Mzee wangu niambie yupi anaweza kushika koleo?

Na yule wa mabarabara je?Barabara zote ni mbovu kabla hata hazijafunguliwa wizi kila kona panapojengwa barabara,sasa akiingia Ikulu inakuwaje.................

Na yule Mtaalamu wa nuklia yeye alikuwa karibu kabisa na Chungu alishindwa kutoa ushauri kwa chungu kwamba moto huu unaunguza chakula,leo anataka URAHISI haya kwanini tumpe ikiwa kwa miaka mitano kazi yake kubwa ilikuwa kufungua warsha tu.......................

Sidhani hata kuna aliyebaki humo ndani ambaye akijinadi atasomeka..................:hatari::hatari::hatari:
 
Back
Top Bottom