Nimerudia kusoma weeeeeeeeeeeeeeeee , nataka nijue una umri gani? Maana swali lako sidhani kama mtu wa over 20 years atauliza!!!!!!! Dah, yaani hujaweza hata kupata elimu ya mahusiano kati ya wawili wapendanao? Hujawahi hata kusikia inatokea kitu gani kama mwanaume au mwanamke alyepevuka kukaa muda mrefu bila sex? Hujawahi hata kujua kama mke au mume wako hamhakutana muda mrefu siku mtakayokutana ni lazima utagundua kama kulikuwa na kawizi au la? Yaani wewe nitafute nikupe somo. Pole sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hongera kama unapatwa na hiyo hali akipiga mkeo kwa wenzio ni tofauti small house wakipiga ndio inawatokea hivo
Tiba utaipata akirudi kwa sasa endelea tu kuchafuka
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na nusu hivi ambpo atakuwa na likizo mwezi wa tisa mwaka huu. Tatizo nililonalo ni kuwa kila akipiga simu nikimsikia sauti yake, ukweli nachanganyikiwa na kuhisi nipo nae. Kibaya zaidi sehemu zangu za nanihii husimama na kama nipo ofisini ni aibu tupu. Kama nipo nyumbani nimelala, wakati mwingine hujikuta natokwa na ule uteute wetu na kuchafua suluali au bukta.
Nijuzeni, huu ni ugonjwa nikatibiwe?