Erickb52 anapenda totoz, nakumbuka wakati nasoma naye Edmund Rice Sekondari ashawahi kumtokea binti mmoja mara mbili...alitolewaje baruuuu!!
Lakini haka kajamaa kalivyo na saundi, kalifanikiwa kumtia mikononi yule binti(
Chocs ) na hadi leo wapo wote