Wao hawapo kwa ajil ya kuimalisha chama, bali kuzima moto wa CDM na wengineo, kwahiyo jamaa wakitulia na wao wanatulia, wengne wanaendelea na biashara ya pembe za ndovu, wengne wanatupa majungu kwa Dk Slaa, wengne wanawanunua vijana CDM, na wengine wanaenda serengeti kupumzika.
Sijui kwenye tv watasemaje, na nan atakuwa mzungumzaji.??
Mi naamin ni anguko lao jingine linakuja, mana nikikumbuka kipind cha Tido Mhando, midahalo ya 2010 TBC, Sipat picha..!!