KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,215
- 56,855
The butufuli wa watu ngoja nikuache tu..🤣🤣
Vere butufuli
The butufuli wa watu ngoja nikuache tu..🤣🤣
Vere butufuli
😂😂The butufuli wa watu ngoja nikuache tu..🤣
Imagine umetoka zako nyumbani, unazunguka zunguka kwenye shopping malls au mitaani. Uko vizuri kipesa, una hela za kutosha tu kwenye pochi/mpesa/benki.
Ghafla wakati unatembea kucheki dukani unakutana na pochi moja matata sana, label unayopenda, rangi/material ya maana! Unajiambia "ile pochi siiachi, lazima niimiliki kwa gharama yoyote..!"
At that point, haijalishi kwamba nyumbani una pochi ngapi, pengine nzuri au za ghali kuliko hii. Kinacho matter ni kwamba hii uliyoiona leo unaitaka! Unaanza ku imagine jinsi ambavyo utatokelezea ukiwa nayo, itakavyoendana na nguo zako nk. Muda huo hata mtu akuambie nini huwezi kumsikia, ni lazima uichukue hiyo pochi.
********************
Basi na sisi wanaume ni hivyo hivyo pindi tunapokutana na demu mzuri! Kwahiyo naomba muache kutuuliza kwanini tunahangaika na wanawake wengine wakati tuna mke/mpenzi!
Asanteni
Pua lako
Write your reply...Pochi! Pochi! Pochi! hata Mimi pia nimeona pochi kibao kwenye Uzi wako.
Yaani hata ukiipamba vipi hii nayo ni dhambi kama dhambi nyingine tu