Akina dada piteni huku

Hakuna mume hapo ila kuna mabalaa mbele ya safari.yani bila ya kusita nakushauri uanze maisha mapya ya kulea mwanao na kama ni ndoa,umri wako bado mama.utapata tu mwanaume atakayekuja kukupenda na utasahau yoye hayo.tena shukuru mungu amekuonyesha hatari iliyopo mbele yako kama utaendelea na huyo mtu.
Yani kifupi mwanaume anaejielewa kamwe hawezi kuzaa na wanawake 4 tofauti.huyo ni mbwa .
kukosea huwa ni mara moja tu.
nawe umeshakosea kwa mara ya kwanza,sasa heri kuepuka kukosea mara ya pili kwa kumpa huyo mtu nafasi nyingine ya kuja kukutumbukiza kwenye shimo kabisa ambalo ndio itakuwa mwisho wako.
 
heri ughairishe safari Leo uepuke ajali.
kuliko ajali ikikufika ndo ukumbuke ninge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…