Kwanini ulikaa kimya wakati ushajua yupo interested na wewe na keshaongea maneno mawili matatu yanayomaanisha anakutaka!???Bado najaribu kuwatafakari.....
Sijui mkoje....
Niliombwa namba na mdada mmoja kwenye semina, alionekana kuwa yuko interested sana na mimi!! Haikuhitaji tutorial ya kujua kuwa alikuwa ananitongoza katika mazungumzo yetu!!
Maswali kama "uko na girlfriend" yalihusika!!
Siku iliyofuata alinitafuta tukawasiliana vizuri tu!! Kama vile mahusiano ndo yameanza!! Zikapita siku tatu bila kumtafuta na yeye aka mute, then akanitumia bonge la normal text kurahum.
Leo hii anaweka status za yeye na boyfriend wake, anaandika "heri yao wanaojua kujali"
Ndo nimemaliza kuka block sasa hivi!!!
Hivi nyie viumbe mnakwama wapi???
Hiyo ni kawaida sana dada angu!!Kwanini umemblock huyo dada honey bee ?
Ulianza kuwa interested pia ndio mana umeumia yeye kumpost boyfriend wake?
Mapenzi yana nguvu aseee
Sio mbaya hata hivyo!!!ulichokifanya umemrahisishia kazi anajua uko na kitu kwake ndomana kapost hivyo sababu anajua utasoma/kuona tu,ulichotakiwa kufanya ni kumute tu ukaendelea na mambo yako
Kwani wewe ulikwama wapi Mkuu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bado najaribu kuwatafakari.....
Sijui mkoje....
Niliombwa namba na mdada mmoja kwenye semina, alionekana kuwa yuko interested sana na mimi!! Haikuhitaji tutorial ya kujua kuwa alikuwa ananitongoza katika mazungumzo yetu!!
Maswali kama "uko na girlfriend" yalihusika!!
Siku iliyofuata alinitafuta tukawasiliana vizuri tu!! Kama vile mahusiano ndo yameanza!! Zikapita siku tatu bila kumtafuta na yeye aka mute, then akanitumia bonge la normal text kurahum.
Leo hii anaweka status za yeye na boyfriend wake, anaandika "heri yao wanaojua kujali"
Ndo nimemaliza kuka block sasa hivi!!!
Hivi nyie viumbe mnakwama wapi???
amekwama yeye au wewe ndio umefeli?Bado najaribu kuwatafakari.....
Sijui mkoje....
Niliombwa namba na mdada mmoja kwenye semina, alionekana kuwa yuko interested sana na mimi!! Haikuhitaji tutorial ya kujua kuwa alikuwa ananitongoza katika mazungumzo yetu!!
Maswali kama "uko na girlfriend" yalihusika!!
Siku iliyofuata alinitafuta tukawasiliana vizuri tu!! Kama vile mahusiano ndo yameanza!! Zikapita siku tatu bila kumtafuta na yeye aka mute, then akanitumia bonge la normal text kurahum.
Leo hii anaweka status za yeye na boyfriend wake, anaandika "heri yao wanaojua kujali"
Ndo nimemaliza kuka block sasa hivi!!!
Hivi nyie viumbe mnakwama wapi???
she is so desparateHiyo ni kawaida sana dada angu!!
Sikuwa na mda nae kabisa kabla hajanitumia ile sms ya majuto!!! Baada ya hapo akili ndo ikaanza kunikaa,
Sasa kwa nini afanye hivyo mapema hivi???
Ingelikuwa mapema sana kukala mkuu!!
Wiki tu, mkuu.....
PoleHiyo ni kawaida sana dada angu!!