The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,230
Naandika huu uzi kwa majonzi, siku hizi akina dada wengi sana wanatumia mitandao ya kijamii kujiuza.
Unakuta ni binti mrembo kabisa ambaye alipaswa kuolewa cha ajabu unakuta anajiuza huko hitwe, badoo, waplog nk.
Hivi kwanini msitafute kipato kwa njia nyingine.
Nimeamua kuandika baada ya kuwa na-chat na dada mmoja katika mtandao fulani. Nikaishiwa kuambiwa kama nina laki moja nikamgegede, sikutarajia jibu kama hilo kwani tulikuwa kwenye normal chats na mm nikimsifu kuwa ni mrembo.
Nimechoka, kina dada badilikeni