wageni mjini huitwa kolongweeNdio kundi gani mkuu maana sisi wengine ni wageni mjini ndio tumekuja juzi juzi hapa tena tumeletwa na masomo ya vyuo vikuu vilivyotapakaa hapa mjini, vinginevyo ningekua zangu Nyanderema nakula masiloche.
Tusaidie na sisi wageni tuwajue mkuu.