MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,072
- 43,446
We mzee unataka tu kuleta ligi isiyo na maana yoyote. Kama ni ushoga kuna watu wako straight kabisa na wanapiga chuma gym ila mashoga. Kuna mambo mengine inafika point mzazi hawezi ku-control ni Mungu tu aamue.Nyinyi ndio aina ya Wazazi wenye kizazi cha namna hii.
Yaan huo mstari uliouweka na ulivyomalizia vinapingana kabisa yaan in short umepuyangaNawapongeza sana single mothers kwenye malezi ya watoto wao hasa wa kiume. Hawa single mama huwa wanacheza vizuri nafasi zao kwenye kuwakuza watoto wa kiume. Wengi wa watoto wa single mama huja kuwa masupastaa wakubwa na mzazi kuishia kula bata.
Ume-comment ushuzi mtupu pia hujaelewa kabisa nilichoandika.Yaan huo mstari uliouweka na ulivyomalizia vinapingana kabisa yaan in short umepuyanga
Mada inahusu akina baba ila hitimisho unaweka akina mama ambao kwa kiburi chao wenyewe wamebaki kua single mothers
Efeso 6 inazungumzia watoto na wazazi wao sio watoto na mzazi wao, Efeso 6 inaelezea kuhusu malezi ya kifamilia ya baba na mama na sio malezi ya pande moja, Efeso 6 inasimamia amri ya 4 ya Mungu waheshimu baba na mama, upate miaka mingi na kheri duniani
Efeso 6 haizungumzii single mother's na hakuna mstari kwenye biblia unazungumzia single mothers km upo uweke hapa na mimi niupitie
Efeso 6 inaelezea misingi ya familia na nguzo za familia jinsi gani wazazi wote wawili na sio mmoja wanatakiwa kuishi na watoto wao na kuwalea katika malezi yanayompendeza Mungu,
Efeso 6 inawahimiza watoto na wazazi kutimiza hitaji la Mungu, kwa kuwahimiza wababa wasikasirishe watoto wao na watoto wawatii na kuwaheshimu wazazi wao
Efeso 6 inawahimiza wazazi wawakuze watoto wao katika hekima na kimo, wakue kwa kuenenda na kutenda mambo mazuri yanayompendeza Mungu kwa kuwatii na kuwaheshimu wazazi wao wote wawili yaan baba na mama
Biblia katika Efeso 6 inazungumzia malezi ya pande mbili yaan baba na mama na sio pande moja yaan single mother au single father
Napita...
Wewe chizi elewa kwamba humu hatujuani na ID zetu ni feki... utajisikiaje kujua mimi unaniyenitukana ndo nilikutoa marinda?Umeandika ujinga kujifariji kutokana na kuzalishwa zalishwa na kuachwa unaona ni fahari...mbwa wewe...🤣
Wewe ni Choko raaaaa angalia majibu yakoUme-comment ushuzi mtupu pia hujaelewa kabisa nilichoandika.
Utazalishwa na kuachwa miaka yote ukibaki kujifariji huku JFWewe chizi elewa kwamba humu hatujuani na ID zetu ni feki... utajisikiaje kujua mimi unaniyenitukana ndo nilikutoa marinda?
Eti watoto wa single maza huishia kuwa masupastaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo utafiti sample ni diamond sioWaefeso 6:4
"Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana".
Kabla ya yote niweke wazi kwamba ninaamini biblia ni kitabu kitakatifu chenye mafundisho yote muhimu kwa binadamu. Pia ni kitabu chenye kuburudisha na kusisimu sana. Kimsingi biblia ni kitabu chenye kila kitu na kamwe hutajutia kukisoma kila siku. Kwa wale wasio na imani kama yangu pia wako sahihi maana nao wana wanachoamini.
Tukirudi kwenye nia nzima ya uzi ni kwamba biblia kupitia Waefeso ina maonyo kwa kina baba dhidi ya watoto wao. Ukisoma imeandikwa straight kwamba kina baba tusiwachokoze watoto bali tuwalee katika maadili mema. Kwanini imeandikwa hivi? Jibu ni kwamba hata Mungu mwenyewe alishaona upuuzi wa wakina baba wengi kuendekeza ubabe usio na tija kwa watoto wao kiasi kwamba wakati mwingine inakuwa kama uchokozi. Hivyo kupitia neno lake akatoa mwongozo.
Nikiangalia makuzi ya wengi wetu nazidi kuamini hayo maneno ya Waefeso 6:4. Wengi wetu tumekuzwa katika namna ambayo baba huwa ni kama adui yaani HAZOELEKI. Madhara yake ni kwamba huku ukubwani automatically baba anakuwa kama ametengwa. Watoto wengi wakishakuwa watu wazima huelekeza mapenzi kwa mama huku baba akipambana kivyake. Hali huwa mbaya kwa familia za vipato vya chini kwasababu watoto humjali zaidi mama kwa kumtumia pesa mara kwa mara. Baba hufanywa kama ziada tu. Kimsingi uzee wa wa kina baba wengi huwa na changamoto sana.
Ninawasihi sana kina baba wenzangu tusibaki kwenye yale maandiko ya kumbana mtoto aheshimu huku tukikazia na ule mstari usemao USIMNYIME MTOTO MAPIGO. Tukumbuke pia hatutakiwi KUWACHOKOZA WATOTO. Mtoto kukuogopa sana utajutia sana uzeeni. Utaanza kuwalaumu watoto kumjali mama yao zaidi wakati wewe ndo ulijichagulia mwenyewe mwisho wako.
Nawapongeza sana single mothers kwenye malezi ya watoto wao hasa wa kiume. Hawa single mama huwa wanacheza vizuri nafasi zao kwenye kuwakuza watoto wa kiume. Wengi wa watoto wa single mama huja kuwa masupastaa wakubwa na mzazi kuishia kula bata.
Wako wengi sanaEti watoto wa single maza huishia kuwa masupastaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo utafiti sample ni diamond sio
Waefeso 6:4

Biblia ilivyoandika enyi kina baba msiwachokoze watoto wenu ilikuwa na maana gani?1.Wazazi ni MUNGU wa Pili
2.Waheshimu Baba na Mama upate Miaka Mingi na Heri Duniani
3.Utapewa Laana wewe….Unatakiwa kuwaheshimu wazazi Mpaka Wawe hawapo duniani.
Hata Kama wakikosea wewe sio wa Kuwaambia wamekosea.
Mzazi hakosei.
Mtoto/watoto Lazima wawatii na Kuwahudumia wazazi.
4.Mtoto hachokozwi bali anafundishwa…[emoji28][emoji1787]
5.Mtoto hakua kwa Mzazi….
6.Siko halizidi Kichwa…
Hivi unaweza kwenda kwa watu ukawaeleza kuwa Baba yako anakuchokoza???[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji12]
7.Laana ya Mzazi akikutamkia au Akisononeka tuu Hutopata Baraka katika Maisha.[emoji2957]
Unatakiwa Uyaishi hayo yooote.
Ni wapi wamewasema sana wazazi dhidi ya watoto??? Jibu ni HAKUNA.
Mkuu nimechokoza tuu Mada daa[emoji1787]
Punguza ukali wa maneno Jamani,ko mnataka tuwe tunatoa mimba au kutupa watoto?Utazalishwa na kuachwa miaka yote ukibaki kujifariji huku JF
Kuwa single mother sio sifa ni majuto makubwa,Punguza ukali wa maneno Jamani,ko mnataka tuwe tunatoa mimba au kutupa watoto?
Wewe Dada Chizi ni msajili wa jinsia za watu humu JF? Kukimbilia kutukana ni dalili za mwanzo za ushoga.Utazalishwa na kuachwa miaka yote ukibaki kujifariji huku JF
🤣🤣🤣🤣Kumbe🥴Kuwa single mother sio sifa ni majuto makubwa,
Haipendezi kujusifia kuwa single mother.