hiyo siyo sawa ni hatari na ujinga juu.
kuna wengine wanawapa watoto pombe ili walale,kazi kweli kweli.
kwa kweli kama wana uwezo wa chumba kimoja tu lazíma tendo la ndoa wasilifaidi ili kumlinda mtoto,najaribu kufikiria suluhisho nakosa jibu.
Kumpatia mtoto dawa za aina yoyote hata pombe ni jambo baya sana. Hata hivyo tukubali kuwa kuna watu wana mitihani katika maisha yao. Na hapo tunaongelea watoto wa miaka 3, je wanaoishi na watoto wakubwa zaidi ya miaka 10?
Ni vizuri kuacha mambo ya kuhamishia mazingira yetu kwa wengine. Jambo la msingi tukubali tu kwamba kuna watu kwao kila kitu ni shida; hata starehe waliyopewa na Mwenyezi Mungu wanaipata kwa kuibia!
wengine wanawaombea kulala kwa wapangaji wenye nafasi hasa vijana ambao hawajaoa/olewa n alike lkn bado sio dawa coz mtoto wako anapaswa alale mahala unapoweza kucontrol kuwa usiku utaisha akiwa salama,ndo maana watoto wa uswahilini asilimia kubwa(labda sio wote) wana tabia chafu kweli kweli,ni sbb ya mazingira kama haya.
mi nilishaona kitoto kikihadithia jinsi mama yake anavyokata mauno na jinsi baba na mama yake wanavyolia wakipigana kitandani,sooo bad!but ni umaskini wetu.
Guest kama ni gharama:
- Afanyie bafuni akienda koga
- Afanye usiku wa manane
- Wikiendi mchana mtoto apelekwe kwa shangazi, nyumbani kazi moja
Wakafanyie bafuni huko wanakoenda kuoga kwani lazima kufanyia tendo la ndoa chumbani:becky::becky::becky:
Hivi Cheusi ingekuwa ni wewe ungekuwa unafanyaje? Unampekeleka mtoto kwa bibi yake au shangazi yake?:becky::becky:
nitakapokua ktk hiyo situation ndio nitakapojua cha kufanya,lkn kwa sasa siwezi hata kuwashauri wafanye nini naona kiza tu.
ninachofanya kwa sasa nikuandaa mazingira ya kutokua ktk hali kama hii siku nitakapoamua kuleta kidz duniani.
Kumbe bado haujaamua kuleta kidzz duniani basi tushirikiane wote kuwaleta duniani huo ndio wakati wenyewe
nakubali kama utajiuzulu kwa kutangaza adharani kuwa ww sio infii anymore.
nakubali kama utajiuzulu kwa kutangaza adharani kuwa ww sio infii anymore.
Kwani hiyo kazi? Unasimama na kutangaza tu kama chizi. Ila usiombe zipite siku mbili, anayakana yote aliyowahi kuyasema.
Wanaume kwa movie za namna hiyo ni kama kusukuma mlevi!
Unanitega eheeee:A S 39::A S 39::A S 39: Ngoja :llama::llama:nikapate valuer kaunta kichwa kikae vizuri halafu nitarudi
unajitega mwenyewe:llama:
Bora watafute mshiko waende hata guest house ya buku mbili wanakula tunda kwa raha zote. wakirudi home wote wamechoka maana hizi nyumba zetu na mabafu yetu ya uswahilini bora tusiyaongelee hapa.
We acha mambo ya chumba kimoja,uswahilini nyumba ya pili wakiwa kwenye shughuli ya usiku wapangaji wote wa nyumba ya jirani wanasikia maana si unajua hakuna ceiling wala madrisha hayana vioo,ila wavu na pazia tu.Utakuta watoto wanakula chabo dirishani kwenye uchochoro wa hizi nyumba.Ukitaka kuona mengi tembelea tandale usiku,jaribu kupita kwenye uchochoro unaotenganisha nyumba na nyumba uone maajabu