jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
1.wavivu wakufikifiri na kuchanganua mambo kila kitu wanataka watafuniwe hata kama wanakiona wazi basi hukosa kujiamini mpaka mtu awasamee,mtu anaweza akaja na quote kutoka kitabu flan ila sababu wabongo wavivu kusoma wakaona jamaa ni bonge la jiniasi yani.....
2.wape mada za udaku,ngono,malumbano nk ndizo wapendazo watagandana hapo hata kama wanajua hamna kitu zaidi ya furahisha genge.
3.mwanamke anashinda jf 24/7 na hajui hata jinsi ya kumlea mwanae
4.mtu akiumwa haendi hospital mpaka aandike mtandaoni kwanza
5.sasahivi utawaona wamekuja hapa kujipendekeza ili wagain attention wengine na viingereza uchwara waonekane wasomi wengine waonekane wanahadhi....