MKALI W MAMBO Senior Member Joined Aug 9, 2018 Posts 190 Reaction score 136 Aug 19, 2018 #1 Msichana wa ukweli ni yule anayependa care yako na uwezo wako. Msichana aliye haribika ni yule anayependa pesa zako kuwa makini kwa chaguo lako. Sent using Jamii Forums mobile app
Msichana wa ukweli ni yule anayependa care yako na uwezo wako. Msichana aliye haribika ni yule anayependa pesa zako kuwa makini kwa chaguo lako. Sent using Jamii Forums mobile app
Muzine JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 32,366 Reaction score 60,491 Aug 19, 2018 #2 Mwanaume wa ukweli ni yule anayekupa mtaji wa biashara na kukusaidia kimaisha siyo anayekutumia kingonoo Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume wa ukweli ni yule anayekupa mtaji wa biashara na kukusaidia kimaisha siyo anayekutumia kingonoo Sent using Jamii Forums mobile app
MKALI W MAMBO Senior Member Joined Aug 9, 2018 Posts 190 Reaction score 136 Aug 19, 2018 Thread starter #3 Demiss said: Mwanaume wa ukweli ni yule anayekupa mtaji wa biashara na kukusaidia kimaisha siyo anayekutumia kingonoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtaji wa biashara wa nini anaweza kukupa mtaji na akakutumia kingono......Mwanaume wa kweli ni yule Anayekueshimu na kukuoa kuwa mke wake na kukujali kwa kila hali Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss said: Mwanaume wa ukweli ni yule anayekupa mtaji wa biashara na kukusaidia kimaisha siyo anayekutumia kingonoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtaji wa biashara wa nini anaweza kukupa mtaji na akakutumia kingono......Mwanaume wa kweli ni yule Anayekueshimu na kukuoa kuwa mke wake na kukujali kwa kila hali Sent using Jamii Forums mobile app