Kati ya vitu alinisikitisha sana ni pamoja na hiki cha kuungana na mabeberu wanaoliibia Taifa letu!Lisu ni chifu mangungo wa Karne ya 21 Kwa kuungana na Acacia
Umepigwa ban kwa yale matusi yako ya kipuuzi naona umekuja na hii id nyingine, lakini swaga ni zilezile.Lisu ni chifu mangungo wa Karne ya 21 Kwa kuungana na Acacia
Inasikitisha sana..duh aiseee hawa viongozi bado tunao hata leo hii
Kati ya vitu alinisikitisha sana ni pamoja na hiki cha kuungana na mabeberu wanaoliibia Taifa letu!
Sina imani kabisa na uzalendo wake kwa nchi yetu.
Heri ya hao aisee. Kuliko viongozi tulionao sasa mkuuKati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.
Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.
Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.
Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.
Naomba kuwasilisha.
Mangungo hakujua kusoma Wala kuandika kijerumani,alidanganywa ili tu Carl pieters apate dole gumba lake akaoneshe kwao ujerumani,alipokuja kuambiwa baadae kwamba alimpa mjerumani nchi yake alipingaKati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.
Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.
Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.
Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.
Naomba kuwasilisha.
Naona umekuwa mpwayupwayu tu, unamuonea Chief Mangungo bure tu. Hivi alikuwa anajua kusoma na kuandika, hasa lugha ya kijerumani?Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.
Kwa hiyo hao wengine kina Mkwawa, Mirambo, Isike n.k wao walijulia wapi kusoma na kuandika?Naona umekuwa mpwayupwayu tu, unamuonea Chief Mangungo bure tu. Hivi alikuwa anajua kusoma na kuandika, hasa lugha ya kijerumani?
Mambo mengine munajifanya kujua sana hivi sasa kwa kuwa mumesoma, po pote pale mzungu alipotaka kupachukuwa alipachukua iwe kuna mkataba feki au la.
Good analysisKitu gani unaibiwa na makaburu boss? Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali. Unaweza kutoonyesha mkataba hata mmoja wa raslimali za nchi hii amesaini Lisu?
Sina uhakika sana na hili ulilolisema kumuhusu chifu kilaza kabisa kuwahi kutokea katika nchi yetu kama siyo duniani! Ila naungana na wewe pia kwamba baadhi ya wanaotuongoza wanafuata nyayo zile zile za mangungoLazima wamsome aiseeh, maana anaakisi kabisaa viongozi tulio nao leo.
Tena bora yeye hata kusoma na kuandika hakujua, haswa hicho kijerumani. Malimani akamuingiza chaka. Hawa wa wakati wetu excuse yao ni nini?
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.
Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.
Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.
Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.
Naomba kuwasilisha.
Mikataba ya kinyonyaji. Haina tofauti yeyote na yanayo husishwa na dole gumba la Chifu!Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali.