Jamaa alikuwa akifanya kazi kiwandani na
kila siku
alikuwa anafanya overtime, Bosi wake
akamuita na kumsifu sana na kumuahidi
akiendelea na
moyo huo angemhakikishia kumpa cheo
kikubwa katika muda mfupi na hata hisa
katika
kampuni, Jamaa akaongeza bidii na masaa
ya kufanya overtime, Siku moja usiku akiwa
katika
overtime saa sita ya usiku TANESCO
wakakata
umeme, akaamua kutoroka na kurudi
nyumbani kwake, Alipofika nyumbani kwake
akakuta gari la bosi wake limepaki nje, giza
likiwa limetanda akazunguka kwenye dirisha
la
nyumba yake ili amgongee mkewe,
alipogonga
sauti ya bosi wake ilitoka chumbani kwake
ikisema,'Nani huyo....??'. Jamaa akashtuka
na
kukimbia mbio kurudi kazini, akajisemea
moyoni,' Dah nusura ningekamatwa na
bosi...'
UNAFIKIRI HUYU JAMAA ATAKUWA NA
MATATIZO GANI....??