Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,686 May 19, 2013 #1 "Mchungaj mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "mashoga" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"!!
"Mchungaj mmoja baada ya kuwafungisha ndoa "mashoga" wawili alipata wakati mgumu kutamka kuwa "sasa ninyi ni MKE na MUME" lakini atafanyaje wakati wote ni wanaume? mchungaji akapiga moyo konde na kusema "tangu sasa ninyi ni MAN UNITED"!!