Akicheka kamsikilize uwanja wa Taifa.

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Hivi ukiwa na demu wa aina hii ni nini dawa yake ?
 
Inategemea mko umbali gani na uwanja wa taifa
 
Inaweza kuwa ni tabia za wadada ila sio kwa sauti ,yaani apo juu nyote naona mnakimbiza kivuli chenu ,ni kweli hamjawaona wanawake wanaocheka kwa sauti ya kushughulisha watu ?
 
Ukamsikilizie uwanja was Taiga kutokea wapi? Minazini bar? Duce? Dadavua
 
Unampa busu la mdomoni anatuliza kelele muda huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…