akaulizwa na waandishi

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
aseme neno dhidi ya sms aliyotuhumiwa kumwandikia mkuu wa jeshi la polisi ambayo IGP aliiforward kwa waziri wake dr Nchimbi.

yeye akajibu. " kwakuwa IGP alitaka ushauri wa waziri wake, na waziri wake alishindwa kuchukua hatua... basi waziri ajiuzuru"

kwaiyo watu wanavunja sheria wakitaka hatua zichukuliwe dhidi yao. baada ya kupuuzwa wakalazimisha hatua zichukuliwe dhidi yao na inapobidi hata damu ya watu imwagike.. sidhani kama hii ni busara.. dr hakutakiwa kujibu swali hili kwa namna hii...
 
Mbona hakuna sheria iliyovunjwa, Hebu itaje hiyo sheria na ni kifungu gani hicho?
 
aseme neno dhidi ya sms aliyotuhumiwa kumwandikia mkuu wa jeshi la polisi ambayo igp aliiforward kwa waziri wake dr nchimbi.

Yeye akajibu. " kwakuwa igp alitaka ushauri wa waziri wake, na waziri wake alishindwa kuchukua hatua... Basi waziri ajiuzuru"

kwaiyo watu wanavunja sheria wakitaka hatua zichukuliwe dhidi yao. Baada ya kupuuzwa wakalazimisha hatua zichukuliwe dhidi yao na inapobidi hata damu ya watu imwagike.. Sidhani kama hii ni busara.. dr hakutakiwa kujibu swali hili kwa namna hii...

mwalimu j.k. Nyerere aliwahi kusema namnukuhu "mtu akijua kuwa una akili timamu na akakueleza upuuzi ukaukubali basi atakudharau sana"...dr slaa ukimuuliza swali la kipumbavu na akajua fika kuwa unaakili timamu lazima akudharau na atakujibu swali lako kwa majibu ya kipuuzi kama wewe uliye uliza swali ulivyo"

yesu kwa kuelewa uwezo mdogo wa wanadamu na wanafunzi wake kuhusu kuelewa mambo makubwa ya mungu aliamua kutumia mifano mingi ili wamuelewe...na mahali ilipolazimu kujibu majibu ya mkato ilibidi kuwajibu watu kama kina pilato walio muuliza "je wewe ni mfalme wa wayahudi?...yeye akasema "wewe wasema"

tafakari chukua hatua..hasa kuhusu uwezo wako wa kuelewa.
 
Nafikiri hili jukwaa ni la Great thinkers, kama kweli na wewe ni great thinker then lazima utakuwa umemuelewa Dr, Slaa alimaanisha nini kujibu vile, nafikiri alikuwa ana maana hii, "Kama kweli yeye ndo aliandika hiyo sms and then mauaji yakatokea basi aidha polisi wanaendeshwa na yeye Dr. Slaa na sasa anashangaa kwanini hawamkamati" au anajua yeye haja type hiyo message so anajaribu kuwaonesha hao watu wa serikalini kuwa wame cook kwa mara nyingine tena na yeye anao ushahidi so anajaribu kutwambia Nchimbi unafanyanya nini ofisini hadi wakati huu?

My Take; Kwa jinsi ambavyo Dr amejibu swali lile kwakujiamnin namna ile nahakika ile sms hakuandika, ila anaonesha hawa viongozi ni jinsi gani walivyo wabovu wa kufikiri, kwanini wasimkamate?
 
aseme neno dhidi ya sms aliyotuhumiwa kumwandikia mkuu wa jeshi la polisi ambayo IGP aliiforward kwa waziri wake dr Nchimbi.

yeye akajibu. " kwakuwa IGP alitaka ushauri wa waziri wake, na waziri wake alishindwa kuchukua hatua... basi waziri ajiuzuru"

kwaiyo watu wanavunja sheria wakitaka hatua zichukuliwe dhidi yao. baada ya kupuuzwa wakalazimisha hatua zichukuliwe dhidi yao na inapobidi hata damu ya watu imwagike.. sidhani kama hii ni busara.. dr hakutakiwa kujibu swali hili kwa namna hii...

Mimi nami ningekuwa Dr wa ukweli afu naulizwa swali kama hilo ningejibu vivyo hivyo....... Yeye si ni Waziri tena kapelekewa na IGP na wanachunguza jinsi kifo cha Mhandishi kilivyotokea, yaani ilitakiwa hata hiyo sms isisomwe mbele za uma ikatumika kama ushahidi kwenye mahakama juu ya kuhusika kwa Dr. kwenye hilo sakata. Kwa sisi ma great thinker baada ya kuisikia hiyo sms tukakoncludi kuwa ilikuwa ni uzushi na propaganda zilizozoeleka za viongozi wetu.
 
Majibu ya Dr Slaa ni udhibitisho kuwa anatumia sana akili katika kujibu hoja yeyote. Mtu yeyote mwenye akili ameelewa nini maana ya jibu hilo. Pia ametufanya tuwe na mashaka na uelewa wa Nchimbi na IGP
 
Mh Mkuu mleta mada!
Nini kosa la Dr. Slaa? SMS ilikuwa kwa IGP, Waziri aliipataje? Kama kuna uvunjaji wa sheria, Waziri na IGP wanashindwa nini kumkamata na kumshitaki Dr.Slaa?
 
SMS ilitumwa Sikh CDM wanaingia Iringa, sio siku ya kuuwawa kwa mwangosi ,Hilo ni jambo muhimu kujua kwani linaonyesha ni kwanini SMS ilitumwa , maana siku hiyo walikutana na Askari na kuwaamuru washuke kwenye maharishi na kutembea kwa Miguu Kwenda hotelin
 
Nafikiri hili jukwaa ni la Great thinkers, kama kweli na wewe ni great thinker then lazima utakuwa umemuelewa Dr, Slaa alimaanisha nini kujibu vile, nafikiri alikuwa ana maana hii, "Kama kweli yeye ndo aliandika hiyo sms and then mauaji yakatokea basi aidha polisi wanaendeshwa na yeye Dr. Slaa "
Nakubaliana na wewe. Kwa kuongezea tu ni aibu kwa Nchimbi kuongelea hiyo msg hadharani. Maana yake mimi najiuliza yaani Dr. Slaa aliwaingiza fosi kingi IGP, Nchimbi na polisi Iringa? Kwa maneno mengine waliingiia kwenye mtego wake kichwa kichwa?
 
aseme neno dhidi ya sms aliyotuhumiwa kumwandikia mkuu wa jeshi la polisi ambayo IGP aliiforward kwa waziri wake dr Nchimbi.

yeye akajibu. " kwakuwa IGP alitaka ushauri wa waziri wake, na waziri wake alishindwa kuchukua hatua... basi waziri ajiuzuru"

kwaiyo watu wanavunja sheria wakitaka hatua zichukuliwe dhidi yao. baada ya kupuuzwa wakalazimisha hatua zichukuliwe dhidi yao na inapobidi hata damu ya watu imwagike.. sidhani kama hii ni busara.. dr hakutakiwa kujibu swali hili kwa namna hii...

Mkuu, umekurupuka bila kutafakari.
Aliyetumiwa msg, akai-forward kwa waziri wake, kwamba wachukue hatua zipi? wametafakari wakaona haina kosa lolote la jinai. ndiyo maana IGP hakumfungulia Dr. Slaa mashtaka.

Hivi wewe na IGP, ni nani anayezijua zaidi sheria? Ninakuuliza swala hili kwa maana kwamba IGP anao washauri wanasheria wengi sana chini yake ambao kwa kuwatumia wao wanaweza wakatafakari na kuamua nini wafanye.
 
mwalimu j.k. Nyerere aliwahi kusema namnukuhu "mtu akijua kuwa una akili timamu na akakueleza upuuzi ukaukubali basi atakudharau sana"...dr slaa ukimuuliza swali la kipumbavu na akajua fika kuwa unaakili timamu lazima akudharau na atakujibu swali lako kwa majibu ya kipuuzi kama wewe uliye uliza swali ulivyo"

yesu kwa kuelewa uwezo mdogo wa wanadamu na wanafunzi wake kuhusu kuelewa mambo makubwa ya mungu aliamua kutumia mifano mingi ili wamuelewe...na mahali ilipolazimu kujibu majibu ya mkato ilibidi kuwajibu watu kama kina pilato walio muuliza "je wewe ni mfalme wa wayahudi?...yeye akasema "wewe wasema"

tafakari chukua hatua..hasa kuhusu uwezo wako wa kuelewa.

absolutely you are the great thinker
 
Back
Top Bottom