Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,460
Taarifa ya gazeti la nipashe inadokeza kwamba jeshi la polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Dickson Komba , mkazi wa Lizaboni manispaa ya Songea kwa tuhuma za kukutwa na gram 220 za bangi.
Anadaiwa kuwauzia watu mbali mbali waliokuwa wanaihitaji ili kuondoa baridi kwenye mkesha wa Mwenge eneo la Kibulang'oma kata ya Lizaboni.
Swali - Mbona wateja wake waliachwa ?
Mara zote tumesema humu kwamba ukiacha uhuni,uhalifu na kusambaza UKIMWI, mikesha ya mwenge haina lolote lingine.