Stupid human being anafanya hii michezo na atapoteza maisha kwa ujinga huu, kuna mmoja hapa Dar alikuwa anaruka toka juu magorofani hadi chini kwenye simtank kajaza maji, alikufa vibaya pale magomeni NSSF building nadhani ikawa ndio byeee, stupid dangerous worst games for stupid people, hata ww ulieleta hapa ni stupid.