Akaanza Kutetemeka Alipomuona

kuna kitu kuhusu wasichana wa ki tz na magari....
sijui ni nini hasa...
kuna mtu anayaita 'hirizi ya mjapan' lol......

...umenikumbusha binti mmoja outing yetu ya kwanza kwenda kujirusha sehemu sehemu aliniuliza una gari? Nikamwambia usiwe na wasiwasi, basi katililia mwenyewe nilipompitia kwao kama saa mbili za usiku basi kutoka nje hakuna gari nikamwambia tunapanda dala dala acha aanze kulalama hahahaha lol! mpaka hii leo tukikutana huwa namtania, "una gari" tunaishia kucheka sana lol!
 
...umenikumbusha binti mmoja outing yetu ya kwanza kwenda kujirusha sehemu sehemu aliniuliza una gari? Nikamwambia usiwe na wasiwasi, basi katililia mwenyewe nilipompitia kwao kama saa mbili za usiku basi kutoka nje hakuna gari nikamwambia tunapanda dala dala acha aanze kulalama hahahaha lol! mpaka hii leo tukikutana huwa namtania, "una gari" tunaishia kucheka sana lol!

he he he he,umenikumbusha tukiwa chuo kuna classmate wangu, alikuwa analetwa na gari tofauti tofauti au anakuja kuchukuliwa...tukawa tunamuuliza kulikoni anasema jamaa anauza magari na pia ana miliki magari zaidi ya matatu....tukamwambia si akupe moja basi mpenzi wake,akasema amemwahidi tukimaliza second year atampa na kumchumbia...kabla ya kumaliza chuo binti akapata ujauzito, mwanaume akaanza kuwa haonekani mara kwa mara,akawa anamwambia kuwa anasafiri sana,yule dada akamfuata rafiki wa yule kaka sehemu ya kuuzia magari alipokuwa anamkuta yule kaka,akapelekwa kwa yule mpenzi wake....alizimia...jamaa ana room moja na ni fundi garage....magari ni ya boss na client zake....hasira hasara akatoa ule ujauzito....tamaa ya gari na kupenda magari kwa wadada....inafanya hata wengine hawataki kuwafahamu wanaume wao vizuri,kwao gari=success!!
 
Kaka,uwe na amani kabisa. Huyo msichana ni wako mwenyewe. Anasumbuliwa na ushamba. Hajiamini ndo maana akawa ana wasiwasi classmates wake wasije wakambonda darasani kuwa ana jamaa wa low class. Na kukushika kiuno ni kuku reassure wewe kuwa u wake kabisa (wenzako tunatamani kushikwa na tunaishia kuona kwenye sinema).
Na huyo mkaka aliyekwenda msalani dizaini anamsalandia. Dawa? Ongeza penzi baba. Stop worrying and live BIG
 
Duh! Kweli gari mjini a.k.a Simba ukiwa nalo utararua wengi sana.. Chunguza mkuu inaweza hiyo nusu dakika aliyoenda kuongea nae labda alikuwa anasema sentensi hii ''Usijali wangu yule ni la kibisa hivyo hana madhara wacha nimwahishe Mwenge akapake rangi kucha."
 
Tayari kaka tunda lako lishamegwa na wajanja wewe rudi kilimanjaro tu ukafanye mambo yako ya maendeleo hehehe
 
Ila mim nikawa na maswal mengi
1.kwanin akose comfednce alipowaona wale jamaa?
2.kwanin aliporudi alinishika kiuno na sio kawaida yake?
wanajamii hebu nisaidieni

1. Alikosa ujasiri (confidence) sababu inawezekana hao jamaa, mmoja wao alimtokea na pengine ameshakula mzigo, na yee huyo bint aliwadanganya kuwa yuko free. Hivyo aliogopa labda wangekuja kuvamia meza na kuanza kumuuliza wee ni nani.
2. Alipokwenda chooni na mmoja wa hao jamaa inaonekana alikwenda kuweka mambo sawa, wasije wakaharibu picha. Inaonekana aliwaambia hivi: "mnamuona yule jamaa nilekaa nae pale mezani!, yule ndie yule ***** mtozeni niliyekupeni story zake. Waambie wenzio wasilete fujo, yule ni mjinga flani tu, na nikitoka hapa nitamshika kiuno ili kumvimbisha kichwa, ajione yee ndio yee. Wee usiwe na hofu jioni nipitie room na gari yako tuende tukale maraha"
Dogo fanya mpango uhame jimbo

 
...umenikumbusha binti mmoja outing yetu ya kwanza kwenda kujirusha sehemu sehemu aliniuliza una gari? Nikamwambia usiwe na wasiwasi, basi katililia mwenyewe nilipompitia kwao kama saa mbili za usiku basi kutoka nje hakuna gari nikamwambia tunapanda dala dala acha aanze kulalama hahahaha lol! mpaka hii leo tukikutana huwa namtania, "una gari" tunaishia kucheka sana lol!

Hii tabia ni kero cna coz wanawake imekuwa toomuch wenye waume wenye magari daily roho zetu juu.cjui tumelogwa
 
hii nayo mpya tena yaani changu lililokata tamaa na maisha linatafuta watu wa kufa nao ndie awe mpenzi wako kuliko mwanachuo anayeishi hostel oi! kwa hiyo kama wewe umekuwa na mpenzi wako anahitaji kuendelea na masoma hautakubali hilo jambo sio au utataka ahamie day wakati na wewe unaishi Kilimanjaro na chuo kipo Dar!

Kama huna ushauri bora kunyamaza...
Mchizi anaomba Ushauri na sio kukatisha tamaa wengi humu tunasoma jf

kama hauna uzoefu na machangu na masister do wa chuo nyamaza!!!ila jua ni bora mara 1000 changu kuliko mwanachuo!!!wazoefu watakujuza!!!sahau habari ya kifo!!maana kwa mwanachuo kifo kipo nje nje!!!
 
kuna kitu kuhusu wasichana wa ki tz na magari....
sijui ni nini hasa...
kuna mtu anayaita 'hirizi ya mjapan' lol......


kama mke wa mtu watu wanakula sembuse mtu ambye sio mke wako ni mzinzi mwenzio

mm nakusahuri tafuata mwanamke, fuata taratibu na desturi zq kabila lake na kisha umuoe, usiyumbishwe na visichana vya siku hizi
 
Hakuna ki2 hapo, Classmates tu Atetemeke, wanamsaidia nn? Angekua Babake hapo poa, Alionja asal lzma abadili na Mzinga atest kotekote, Lbd alienda kukuponda kua anakuchuna *****.. Hizo NAULI + LANDMARK + SAMAKISAMAKI ulzopoteza ungetafta Lodge ya elf 15 na dem wa hukoX2 moshi mkaenjoy na chenj ikabaki UKAWEKEZA KWENYE KILIMO SIUNAONA MVUA ZNANYESHA
 
Washapita hao kitambo, mara moja kwa miezi miwili!!!! Dar!!!! Demu wa chuo!!!! Gari!!!!
 
alikosa confidence,sababu yeye ni mwanamke haswaaa mwenye haya za kike,aibu kula starehe na mwanaume wako mbele ya watu unaowafahamu.....

pili ingekuwa ametoka na mmojawapo asingekushika kiuno,amekushika kuwaonyesha she is taken/proud of you,.......kaka kosa ni kumkuta/kumfumania na mtu kitandani mengine yote yanasameheka/yanaongeleka sababu mapenzi ni imani tu..................................

mdanganye...
 
Back
Top Bottom