Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Yaani huyu akikutana na mimi namtajia jina la kichaga halafu atajuwa kabila baada ya kupiga migegedo kadhaa... Sasa kwa masalakazi na maulemavu nitakayomwonyesha atajiuliza mara tatu tatu kuniachaDada moja ananiabarisha hapa ofisini. Akimaanisha atoi sikio lake kusikiliza nyimbo za hawa wanaume wa makabila tajwa hapo juu.
Sikia ananitaja jina. Hawa watu kuwaruka viunzi vyao yaitaji akili ya ziada. Mngoni kwanza anakuja na ngonjera akishidwa anakuja na style ya kuonga hapo yupo radhi aonge atakavyo mwisho wa siku lazima afanikiwe. Halafu hawa Wangoni wash... anatukana kidogo. Anaweza tembea na Mtoto wa Mama, Mama mwenyewe na house girl bila kutambuana.
Sasa hawa wapare sitaki hata kuwasikia. Wanajua kubembeleza hata nyimbo za Celion Dion zinaweza kuonekana azifai. Akiona mafanikio hafifu hitimisho lake anamwaga chozi kabisa. Wadau kuna ka ukweli wowote
Mtoa mada tuombe radh wazee wanyumbii bombii.
Hahaaaaaa..... yani umenichekesha! Kwani wapare sie wafupi?kwa wangoni nakubali 100% ila kwa wapare nakataa... vifupi nyundo vile vimpate nani?
Ni kweli wangoni hawajatulia hata kidogo!! Full kuruka njia
Mtoa mada tuombe radh wazee wanyumbii bombii.
kwa wangoni nakubali 100% ila kwa wapare nakataa... vifupi nyundo vile vimpate nani?
abeeee solution!... Nina hakika wapare ... can realy cry to get the thing mtu asinbishie ...inagwaje naona its cryzy why should yuo!! CHOZI? Under na dead body!!!
Passion Lady
na mrivyo wabahiriMimi nikimtaka demu wa kingoni natoka naye tu na kumpa kilaji cha kiushkaji akishapata stimu naimbisha kitu na dakika 10 zijazo nakuwa nakula kitu mahali bila hata ya kupoteza nguvu nyingi !
Mngoni akishapata kinywaji kidogo tu , kwishaaaa kazi !
Mimi nikimtaka demu wa kingoni natoka naye tu na kumpa kilaji cha kiushkaji akishapata stimu naimbisha kitu na dakika 10 zijazo nakuwa nakula kitu mahali bila hata ya kupoteza nguvu nyingi !
Mngoni akishapata kinywaji kidogo tu , kwishaaaa kazi !