Jamani Mm nilishawai kuwa mwalimu, aisee ! Walimu wanapitia shida mno kiukweli huwezi ona kama haupo kwny tasnia, nilishawai kufundisha kama miaka mitatu Hiv kama part time teacher,
Majaribu niliyokutana nayo asikwambie mtu serikali ipo upande wa wanafunzi ila tatizo linakuja pale ambapo mwanafunz anamalez mabaya kutoka kwao amezoea iyo michezo,
Huwa wanakutega hata nusu darasa yani acha tu. Tuwaombee walimu
kuna kile chama cha mabaharia kile wanakitengo chao kinaitwa "chap.. " nini sijui.Mkuu nyege hazina mbabe
Kuna sababu nyingi za kisheria za hukumu kutenguliwa ni mpaka mwenendo wa kesi utazamwe upya kisheria pamoja na nakala ya hukumu ili kujiridhisha ni hoja zipi za kusimamia kupinga uamuzi wa awali.Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics
Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo
Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala
Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?
Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah
Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale
Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"
Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.
Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.
Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.
Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.
Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali
Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.
Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.
Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
Nadani ni stori tu hii maana mwalimu wa Physics kuzidiwa akili kijinga namna hiyo ni kitu kigumu sana.
[/QUOTE
Mmmh we nawe kwani mwalimu wa physics ndo hana hisia za mapenzi,but SEMA tu mwalimu alizingua kukubali kuingia mtego Kama huo kizembe tu
Acha tu kaka, asilimia 80% y'a mimba ya wanafunz kwakipind hiki cha 30 years tatizo ni wanafunz wnyw. Wasio jua wataona mwalimu ndo tatizoNakubaliana na ww mkuu!juz kuna kitoto nimekiona mjini kimejichubua kimeng'aa kisket kifupi kijungu chote nje...unaona kbs huyu hajaenda kusoma ameenda kujiuza!mxiew!
Twambie kilichoendelea Sasa ili tukuaminiManengelo, mwalimu kumlala mwanafunzi wake anayejipeleka peleka kwake ni ngumu sana kwa sababu lazima mwalimu ahisi ni mtego kawekewa na wananzengo.
.
Nakumbuka mimi mwaka 2013 tu hapo Geita bwalo la Polisi kulikuwa na kabinti flani matata sana yani kazuri kila idara kuna dogo mtoto wa kotazi tu alikuwa anakamega sasa kumbe kale kabinti kana milolongo ya wanaume ajabu na wengi ni watu wazima.
.
Dingi yake akaweka mtego me nikashuka zangu bwalo kulikuwa na konkodi moja hivi la kike na kale kabinti si nikakaita mwamba kakaja wakati huo hakajui lolote kuhusu mtego wa baba yake, ikapigwa ngoma ya Dulayo "twende na mimi" kabinti kiukweli kamejaaliwa guu na kalio wasukuma unatujua kakaanza kukata uno nikakashikilia dk 5 nyingi mzee wake akafika akiwa na silaha pamoja na askari wengine watatu.
.
Kesi ikahamia kwangu kilichotokea hapo ni siri yangu na nilikuwa naingia kazini saa 4 usiku.
Kwa hiyo ni ngumu sana mwalimu kumlala binti anayejitongozesha tongozesha mambo yameharibika
mkuu ndio hapo naposisitiza mm, ilikuaje akashindwa kuwaza na kuwazua jambo rahis namna hiyo mpka amruhusu mtoto ambaye from the very beggining anajua intention yake ni nn?Mmmh we nawe kwani mwalimu wa physics ndo hana hisia za mapenzi,but SEMA tu mwalimu alizingua kukubali kuingia mtego Kama huo kizembe tu
Huenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka🤣🤣!shenji!
Unasemaje wewe...!!
Hivi unafikiri form Two wa Buchosa ni sawa na wa Tandika..? Huko wanaliwa tangu darasa la Tano, kwa stori hiyo umeskia wapi neno bikira limetajwa..?
Tuliaaa bossTwambie kilichoendelea Sasa ili tukuamini
Amemaliza udsm Sasa hivi,lakini bila kufanya hivyo nadhani Sasa hivi angekuwa analea watoto au angekuwa na ukimwi, huo utaratibu alianza nao toka form two na bado yupo na huyo mzee wake ambaye ana mke na watoto, Sasa ndiyo anatafuta mchumba ili atoe kitanzi awe na familia yakeMkuu hebu kuwa serious..yuko form gan!
Acha utani 2007 mimi naanza kazi wewe ulikuwa kidato ca ngapi?🤣🤣🤣🤣! Ww nahis bado mdogo!nasema ni wachache sana wanaweza kwepa hyo mitego ww! Wakuhesabu mno...men akishaona mwili wa msichana akili ishahama!unarukaje kiunzi hicho sasa!mie naamini!..sema mnajiendkezaga sana😏
Samsoni na miguvu yake alizidiwa.Nadani ni stori tu hii maana mwalimu wa Physics kuzidiwa akili kijinga namna hiyo ni kitu kigumu sana.
PerhapsHuenda,ila ukumbuke binadamu tunatofautiana hata katika kutafsiri matukio,nahisi na yeye hakuweza kutafsiri mambo kama hayo huenda
Ww mtu kakusudia Huwez Sometimes anaweza akaja na gear ya kuhuliza swali, kufundishwa hata mm nilikuwa nawafundisha physics .so wanafunz Walikuwa wanamiminika kama wote. Mm nasema Huwez jua kwasabab hajawai kaa kwny tasnia iyomkuu ndio hapo naposisitiza mm, ilikuaje akashindwa kuwaza na kuwazua jambo rahis namna hiyo mpka amruhusu mtoto ambaye from the very beggining anajua intention yake ni nn?
kama anaweza kuwaza logically kwenye mambo ya physics kwann haku transofrm such a habit kwnye reasoning ya mambo ya maisha ya kila siku tu.??
ahahahahahaha.Ww mtu kakusudia Huwez Sometimes anaweza akaja na gear ya kuhuliza swali, kufundishwa hata mm nilikuwa nawafundisha physics .so wanafunz Walikuwa wanamiminika kama wote. Mm nasema Huwez jua kwasabab hajawai kaa kwny tasnia iyo
Acha utani 2007 mimi naanza kazi wewe ulikuwa kidato ca ngapi?
Ni wengi sana yani na saivi kila kona lazima tuone mipaja yenu, manyonyo mara makalio unadhani utamsisimua nani kizembe?
.
Turudi nyuma miaka 12 ya mwalimu yani 2008 tayari haya mambo yalikuwepo tena kabinti ka kidato cha pili 😝😝 kakivua badala ya kukapiga miti unaweza kuanza kucheka kama mwehu
Amemaliza udsm Sasa hivi,lakini bila kufanya hivyo nadhani Sasa hivi angekuwa analea watoto au angekuwa na ukimwi, huo utaratibu alianza nao toka form two na bado yupo na huyo mzee wake ambaye ana mke na watoto, Sasa ndiyo anatafuta mchumba ili atoe kitanzi awe na familia yake