Ajira

Ajira

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Jamani ajira ngumu kupata hadi inakatisha tamaa
 
Usikate tamaa ndo maisha aisee kusoma sio guarantee ya kupata kazi.
Soma uweke CV
Au anzisha kazi uwaajiri wengine
 
Utaanzaje mwenyewe km huna hata mtaji, mikopo yenyewe kupatikana shida tupu km huna vitu vya thaman utaambiwa at least uwe na kaz na kaz yenyewe ndo hvyo!
 
mwaka jana ila nimeanza kutafuta toka miaka minne iliyopita nanina diploma ya marketing na degree ya procurement and supplies
 
Back
Top Bottom