Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.