N nkwaru Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 126 Reaction score 42 Nov 16, 2016 #1 Wakuu, naomba kujua kama ajira zilizofunguliwa mara baada ya hile miezi miwili ya mh. rais ni za kada gani na gani? zimekwisha toka hadi hv sasa make nilikuwa likizo kidogo!
Wakuu, naomba kujua kama ajira zilizofunguliwa mara baada ya hile miezi miwili ya mh. rais ni za kada gani na gani? zimekwisha toka hadi hv sasa make nilikuwa likizo kidogo!
mzee wa giningi JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 519 Reaction score 336 Nov 16, 2016 #2 Ajira nenda Lumumba hakuna ajira iliyofunguliwa hapa zaidi ya siasa wewe unauliza ajira huku wenzako sana duly sea
Ajira nenda Lumumba hakuna ajira iliyofunguliwa hapa zaidi ya siasa wewe unauliza ajira huku wenzako sana duly sea
N nkwaru Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 126 Reaction score 42 Nov 16, 2016 Thread starter #3 empire 5 said: Badilisha kichwa cha habari kiwe na kiulizo Click to expand... mkuu, nafikiri niko sawa kutokana na kauli ya rais kwamba tunaendelea kuajiri.
empire 5 said: Badilisha kichwa cha habari kiwe na kiulizo Click to expand... mkuu, nafikiri niko sawa kutokana na kauli ya rais kwamba tunaendelea kuajiri.
mr mkiki JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 5,721 Reaction score 11,928 Nov 16, 2016 #4 Loading..................................
maheda0756 Senior Member Joined Oct 27, 2016 Posts 107 Reaction score 158 Nov 16, 2016 #5 Mmmh walisema mpaka February 2017
N nkwaru Senior Member Joined Jan 16, 2013 Posts 126 Reaction score 42 Dec 21, 2016 Thread starter #6 wakuu bado hakijaheleweka?