teachers record New Member Joined Nov 16, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Dec 14, 2016 #1 Ebu! Nifafanulieni hizi ajira zilizotoka zinawahusu wakina nani tu?
D DE finest Member Joined Oct 13, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Dec 14, 2016 #2 Walimu wa sayansi na hisabati
teachers record New Member Joined Nov 16, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Dec 14, 2016 Thread starter #3 Hatari! Wale wa kujieleza wakafie mbali
amayabhu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 497 Reaction score 709 Dec 14, 2016 #4 teachers record said: Hatari! Wale wa kujieleza wakafie mbali Click to expand... Ni hatari sana na wa biashara kwishney
teachers record said: Hatari! Wale wa kujieleza wakafie mbali Click to expand... Ni hatari sana na wa biashara kwishney
Abdchota Member Joined Jul 23, 2016 Posts 34 Reaction score 17 Dec 15, 2016 #5 Hongereni mliosoma sayansi na hesabu watu wa sanaa MUNGU atufungulie mlango wa kutokea maana tulikotegemea kumefungwa.
Hongereni mliosoma sayansi na hesabu watu wa sanaa MUNGU atufungulie mlango wa kutokea maana tulikotegemea kumefungwa.
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,641 Reaction score 3,660 Dec 15, 2016 #6 Taifa haliitaji sanaa, tunahitaji viwanda
Abdchota Member Joined Jul 23, 2016 Posts 34 Reaction score 17 Dec 15, 2016 #7 youngkato said: Taifa haliitaji sanaa, tunahitaji viwanda Click to expand... Nalifahamu hilo mkuu ndio maana nasema hongera waliosoma sayansi na hesabu
youngkato said: Taifa haliitaji sanaa, tunahitaji viwanda Click to expand... Nalifahamu hilo mkuu ndio maana nasema hongera waliosoma sayansi na hesabu
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,796 Reaction score 6,444 Dec 15, 2016 #8 teachers record said: Ebu! Nifafanulieni hizi ajira zilizotoka zinawahusu wakina nani tu? Click to expand... Mkuu umeanzisha uzi humu ila kwenda kwenye website ya wizara ukapate taarifa kwa ukamilifu umeona jau
teachers record said: Ebu! Nifafanulieni hizi ajira zilizotoka zinawahusu wakina nani tu? Click to expand... Mkuu umeanzisha uzi humu ila kwenda kwenye website ya wizara ukapate taarifa kwa ukamilifu umeona jau