Ajira ziko wapi?

Ajira ziko wapi?

Hebu nenda tembelea vijijini, ajira zimejaa zinakosa waajiriwa.
Usikufuru shukuru ulichonacho aliekupa anaweza kukupokonya akampa yule anaetafuta,wengi walimiliki kazi na mali leo wapo vitandani wanasaidiwa,unapojibu assume ni wewe,kauli zinaponza
 
WAZIRI WA .... JANA KAJA KAZINI(wakala fulani wa Serikali) kwetu kuongea na wafanyakazi, kaja na neno hili"PUNGUZA WAFANYAKAZI"
 
Nenda kalime hutawaza tena kuajiriwa, Tanzania bado ina mapori kibao. Kuajiriwa ni utumwa
 
Back
Top Bottom