Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.
​

OVER​
Ngoja tuvute subira week moja sio mbali
 
Ngoja tuvute subira week moja sio mbali
Hata 16 cyo mbali coz ndo tunamalizia kulipa deni la serikali 900bill/month so endeleeni kula mchicha wanangu mambo mazuri yanakuja.
 
Ni vizuri uweke chanzo cha taarifa yako. Epuka kuwaashitua watu hasa ukizingatia kiu ya kila mmoja ni kusikia ajira zimetangazwa.
 
walimu tunachukua 30,000, afya 7000 zinazobaki ndo za nyie sijui bachalor of Sociology...n.k
bachelor of sociology, nimecheka sana mkuu kipande hichoo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakuu hembu tuacheni ubishii kwa hii kitu

mnanikumbusha wale jamaa waliokuwa wanabishana kuhusu mavi, mmoja anasema sio mavi mwingine anasema ni mavi akatokea mpita njia wakamuiliza kile nini ,yule jamaa akawambia ni mavi, yule jamaa akabisha mpaka akamwambia arambe jamaa kweli akaramba ndo akaamini...!
 
Mmeikalia tu politiki!!
 
GPA 3.8 kama kigezo kwa habari znazotapakaa!

Pia WALIOSITISHIWA AJIRA zao June kufutwa ajira hizo na wahusika wanatakiwa kuomba upya ajira kulingana na sifa zao!
 
Hizi habari za ajira ni mambo yasiyoeleweka bora kufanya vitu vingine!
 
Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.
OVER​
Wiki ijayo haijafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…