Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,709
pecialization and division of labour-kila mtu hawezi kuwa mfanyabiashara/mjasiriamali-hii ni duniani koteSlavery
Mhhh kupatwa kwa Education, hayawalimu tunachukua 30,000, afya 7000 zinazobaki ndo za nyie sijuibachalorof Sociology...n.k
Nasisi wa jkt je tutapata? ?walimu tunachukua 30,000, afya 7000 zinazobaki ndo za nyie sijui bachalor of Sociology...n.k
nyie si mnaajiriwa na mhindi kule Suma JKT kwenda kuwa walinzi au umesahau?Nasisi wa jkt je tutapata? ?
Umekaimu nafasi ya Msigwa mkuuKwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.
OVER
Una undugu na ikulu? Au umeoteshwa
Au mkulu wa kaya mwenyewe?Andaa CV Kijana wacha kutaka kujua mi ni nani?
I agree with that, but can you expose what you have achieved outside what you are calling slave market? If not far enough from what you call slave, i think you are also in the slave market by the name self-entrepreneur.Saturated slave market
Ndo mana nawaambia wasimbishie usikute prezda shaur zaoAu mkulu wa kaya mwenyewe?
Acha dharau!zinazobaki ndo za nyie sijui bachalor of Sociology...n.k
Mnaota? Mkulu ameelemewa na kitu kinaitwa "wage bill" na ndio maana anapambana na watumishi walio kwenye payroll ili kupunguza huu mzigo wa mishahara, wakati huo huo ninyi mnajipa moyo kuwa ataajiri hv karibuni!Ndo mana nawaambia wasimbishie usikute prezda shaur zao