Ajira za Wizara ya Afya

Ajira za Wizara ya Afya

Nobrain

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
256
Reaction score
736
Hello, kwenye hizi ajira za Wizara ya Afya Kila Nikijaribu ku apply inanambia
"Please fill the following information: Required Attachment in attachment section"

Kila kitu nimeatach Vzur. Tatizo litakuwa nini?
Picsart_23-12-08_11-58-54-628.jpg
 
Hello, kwenye hizi ajira za Wizara ya Afya Kila Nikijaribu ku apply inanambia
"Please fill the following information: Required Attachment in attachment section"

Kila kitu nimeatach Vzur. Tatizo litakuwa nini?
View attachment 2836331
Netiweki hiyo ,,rudia mara kwa mara itakubali tu,, pia angalia viambatanisho vyako mfano vyeti vyako weka.kwa mfumo wa PDF
 
Yaa mia mbili themanini na tisa kama sikosei
Duuuh!! Hizi sikuziona Mkuu...
Au ndo zitakuwa zike za ajira ya Moja Kwa amoja Serikalini.

Kwani wao pia hawajaitwa hata mmoja??? Wale nadhani wanafanyia Tu placement ya kituo cha kazi
 
Yap ni zile za placement tu hazina interview, ila mpaka Sasa hawajatoa majina
 
Labda tuendelee kusubiri tu mkuu.

Me nasubiria zile za Global Fund. Naona kimya kila siku napita kwenye website yao.

Hivi na Wale manes walioambiwa waombe waende uarabuni... nao bado?
 
Zile za manesi wanaomba kupitia wizara ya Kazi, wizara ya afya walipitisha tangazo tu Sasa sijajua kama washachukuliwa
 
Back
Top Bottom