Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 20,162 Reaction score 61,660 Apr 4, 2018 #1 Habari, Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji. Attachments out.pdf out.pdf 3.5 MB · Views: 144
Habari, Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji.
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Apr 7, 2018 #2 Tatizo tuliosomea fani ya ualimu hawatutaki,
Lukataluko JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 1,345 Reaction score 1,573 Apr 7, 2018 #3 Ndo nafasi za kazi zilizo baki tz, mambo yanabadirika, zamani kimbilio ilikuwa uwalimu na polisi, ckuiz utendaji.
Ndo nafasi za kazi zilizo baki tz, mambo yanabadirika, zamani kimbilio ilikuwa uwalimu na polisi, ckuiz utendaji.
M mrsmau JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 462 Reaction score 490 Apr 7, 2018 #4 mumak said: Tatizo tuliosomea fani ya ualimu hawatutaki, Click to expand... Hawawataki mbona wameandika hapo fani ya elimu nta level 5 au ni waongo
mumak said: Tatizo tuliosomea fani ya ualimu hawatutaki, Click to expand... Hawawataki mbona wameandika hapo fani ya elimu nta level 5 au ni waongo
mumak JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 1,069 Reaction score 670 Apr 8, 2018 #5 Hamna kitu hapo tushaomba sana hata kuitwa hatuitwi
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 20,162 Reaction score 61,660 Apr 8, 2018 Thread starter #7 Lukataluko said: Ndo nafasi za kazi zilizo baki tz, mambo yanabadirika, zamani kimbilio ilikuwa uwalimu na polisi, ckuiz utendaji. Click to expand... We apply kiongozi,hizi kazi wakati mwingine huwa ni kama ticket ya kufikia kule unapotaka kwenda. Good luck
Lukataluko said: Ndo nafasi za kazi zilizo baki tz, mambo yanabadirika, zamani kimbilio ilikuwa uwalimu na polisi, ckuiz utendaji. Click to expand... We apply kiongozi,hizi kazi wakati mwingine huwa ni kama ticket ya kufikia kule unapotaka kwenda. Good luck
U Uchunjuba Punjubi JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 799 Reaction score 624 Apr 9, 2018 #8 POINT LOAD said: We apply kiongozi,hizi kazi wakati mwingine huwa ni kama ticket ya kufikia kule unapotaka kwenda. Good luck Click to expand... Umesema kweli mkuu, tatizo bila connection hakuna kitu kumbuka viongozi au maboss huko Halimashauri wana watu wao tayari mpaka upate yaani sio rahisi
POINT LOAD said: We apply kiongozi,hizi kazi wakati mwingine huwa ni kama ticket ya kufikia kule unapotaka kwenda. Good luck Click to expand... Umesema kweli mkuu, tatizo bila connection hakuna kitu kumbuka viongozi au maboss huko Halimashauri wana watu wao tayari mpaka upate yaani sio rahisi
S Silikwako JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 1,574 Reaction score 3,602 Jan 28, 2023 #9 Grahams said: Habari, Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji. Click to expand... Namimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie!
Grahams said: Habari, Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji. Click to expand... Namimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie!
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,202 Jan 28, 2023 #10 U Helleinah said: Namimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie! Click to expand... Zikitoka nafasi unabidi kuomba then andaa na connection ili uingie kwa job hizo Kazi za 700k sio Kazi in such lakin unaweza Kupata mtaji wa kukufanya Kupata Biashara ya maana so yangu ndo hayo , sabato njema
U Helleinah said: Namimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie! Click to expand... Zikitoka nafasi unabidi kuomba then andaa na connection ili uingie kwa job hizo Kazi za 700k sio Kazi in such lakin unaweza Kupata mtaji wa kukufanya Kupata Biashara ya maana so yangu ndo hayo , sabato njema