Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
NAFASI ZA AJIRA SHINYANGA
Kuna uchakachuaji wa hali ya juu sana.Majina mengi ya wenye sifa na walioomba yamewekwa kapuni na wengi waliochaguliwa kwa ajili ya usaili ni watoto wa watumishi wa manispaa ya Shinyanga. PCCB chunguzeni hili na mtabaini ninayosema. Je, kwa mwendo huo haki itatendeka>