Ajira za watendaji Shinyanga

Ajira za watendaji Shinyanga

KIFALU

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Jaman wapendwa nasikia majina tayar yametoka na usaili tarehe 25 mwezi huu mwenye majina aweke pia msaada majina ya A
 
Acha uongo ww soma gazet la mwananchi la juz, wamewaita watu 100 kwenye intrvw n inafanyika tarh 25 mwezi huu...mbn mnapenda kulopokwa? Ebu jitaid kusoma magazeti
 
Na za halmashauri ya manispaa ya temeke lini maana nao walitoa za AFISA MTENDAJI WA MTAA (MEO) GRADE II...NAFASI 32.
 
Mm ninalo sema jins ya kuliweka ila majina yapi mia moja said abdallah,kaombwe simon,mompome elias,grace emmanuel,josephat yusufu,kasian,hanifa,mkore,ruth,nyamizin,....hayo nimachache au taja jina
 
Ya arusha naskia na ajira tayari wameshaanza kazi, zikiwa ni halmashauri wanafanya usaili wenyewe kupata labda km hawana jamaa wanaohang huko makwao la wanachukua ndugu zao mfano Maggessa mulongo kamleta shemeji yake toka Bukoba( mdogo wa mke),na anafanya kazi ya mtendaji kata
 
Nakuambia hizi nafasi ndg majanga mungu atusaidie2 kwan mie niliuliza jamaa shinyanga akanambia et usaili j4 ambayo ni jana kumbe akuangalia vizuri kwa kua jina lake halipo pale lakini kuna usemi na tetesi kwamba tayari kuna watu wamesha andaliwa kupewa ajira hapo wengine tutauzulia tu
 
Mm ninalo sema jins ya kuliweka ila majina yapi mia moja said abdallah,kaombwe simon,mompome elias,grace emmanuel,Josephs yusufu,kasian,hanifa,mkore,ruth,nyamizin,....hayo nimachache au taja jina

niangalizie jina la Karama kama lpo
 
Mm ninalo sema jins ya kuliweka ila majina yapi mia moja said abdallah,kaombwe simon,mompome elias,grace emmanuel,josephat yusufu,kasian,hanifa,mkore,ruth,nyamizin,....hayo nimachache au taja jina

mkuu naomba unambie ni gazeti la tarehe ngapi
 
Jamani kama kuna mtu anaweza kuingiza hayo majina humu basi anitafute kwenye hiyo namba apo juu ili nimtumie den aweke umu
 
Ni shida, yaani kuna uchakachuaji ndio tati\o la ajira siku hizi, wenye sifa wanaachwa, wasionazo ndio wanabebwa
 
Back
Top Bottom