Ajira za wataalamu wa IT na wapigaji wa picha

baba afrika

Member
Dec 11, 2015
85
90
Kwa mtu yoyote ambaye ana uwezo au ubunifu katika maswala ya IT au kupiga picha na anahitaji ajira basi anaweza kunicheki kwa namba hii 0758 353 881.

Kikubwa ni uwezo na sio vyeti so ukiomba lazima ujue kuwa cheti hakiitajiki
 
IT ni Pana fafanua anaitajika kwa ajili ya shughuli ipi mtu anaweza kuwa mwana IT atajua zaidi network, au website design, au computer repair and services asijue nk lazima ufanye specific ni jukumu lipi
 
Kweli kabisa, inabidi aeleze anataka mtu wa aina gani na ni vyema akifafanua kuwa ni ajira, partnership au nini?
baba afrika njoo jibu
 
Mkuu najua kupiga picha makini na nzuri za kuvutia pia naweza kuziedit na pia nina utaalam wa kutosha wa graphics designing
Zaidi ya hapo nina fahamu mambo madogo madogo ya computer maintainance
Mkuu nipo tayari kama bado unatafuta watu
Napatika
Whats app 0715 587 612
Calls/sms 0625 849 322
 
Kwa mtu yoyote ambaye ana uwezo au ubunifu katika maswala ya IT au kupiga picha na anahitaji ajira basi anaweza kunicheki kwa namba hii 0758 353 881.

Kikubwa ni uwezo na sio vyeti so ukiomba lazima ujue kuwa cheti hakiitajiki
Nahitaji watu wa it wa aina yoyote.
 
IT ni Pana fafanua anaitajika kwa ajili ya shughuli ipi mtu anaweza kuwa mwana IT atajua zaidi network, au website design, au computer repair and services asijue nk lazima ufanye specific ni jukumu lipi
Fild yoyote ile ya it mana kazi ni nyingi
 
IT ni Pana fafanua anaitajika kwa ajili ya shughuli ipi mtu anaweza kuwa mwana IT atajua zaidi network, au website design, au computer repair and services asijue nk lazima ufanye specific ni jukumu lipi
Mfahamishe huyu.....
 
Mkuu najua kupiga picha makini na nzuri za kuvutia pia naweza kuziedit na pia nina utaalam wa kutosha wa graphics designing
Zaidi ya hapo nina fahamu mambo madogo madogo ya computer maintainance
Mkuu nipo tayari kama bado unatafuta watu
Napatika
Whats app 0715 587 612
Calls/sms 0625 849 322
C umpigie?
 
Back
Top Bottom