Ajira za walimu

TULIA HAKUNA AJIRA SERIKALI HII NDOO MJIFUNZE KUWA CCM NI ZOMBI
 
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. Website: www.tamisemi.go.tz.
Online Teachers Employment Application System-OTEAS
www.osaistz.com
ONLINE TEACHERS EMPLOYMENT APPLICATION SYSTEM,THIS IS THE COMPUTER SYSTEM FOR MONITORING ... Ajira za ualimu sasa ni za kuomba, wahusika changamkeni muda ni mfupi, na wenye ndugu waarifuni
 
Nahaya majanga yaliwayotokea ndugu zetu huko kanda ya ziwa, msahau kabisaaa kuhusu ajira. Hela itaenda kutoa pole
 
WALISEMA TULIISHI MIAKA KUMI BILA RAIS(RAIS ZERO), SASA MIMI NAONA MUDA HUU TUNA RAIS NEGATIVE KABISA. BORA HATA KUA NA ZERO
 
Kama Mleta mada ni Mwalimu mtarajiwa basi Innah linnah wa rinah Rajiun, Naiombea dua ELIMU yetu imeshafariki.

Bora wanangu niwafundishe mwenyewe kuliko kufundishwa na watu kama Mleta uzi.

Ajira za ualimu TAMISEMI wajitokeze water msimamo mmoja kama zipo au hazipo ili walimu wahitimu hawa wajue moja. Kukaa kimya hawajawatendea haki wadogo zetu.

Integration of education in politics is a huge catastrophe that is affecting and will still being affecting our education system. This gonna create ignorant societies in Tanzania.

Our president has good intention though has advisors who have outdated mind
 
Tatizo mliimbishwa hivyo kwenye nyumba zenu za ibada kwakuwa raisi hakuwa mmoja wenu. Acheni sasa Huyu mwenzenu awsomeshe namba
 
Ulitaka aandike nini hapo? Unajua maana yake ya kuandika hivo? Kama hajaeleweka umepata wapi ya kuchangia.
 
uko sawa, ila kwenye hilo la kumfundisha mwanao acha acha kabisa...utaharibu kabisa. hauna cha ziada kumzidi mleta mada.
nimezingatia zaidi content ya reply yako!
 
uko sawa, ila kwenye hilo la kumfundisha mwanao acha acha kabisa...utaharibu kabisa. hauna cha ziada kumzidi mleta mada.
nimezingatia zaidi content ya reply yako!
 
uko sawa, ila kwenye hilo la kumfundisha mwanao acha acha kabisa...utaharibu kabisa. hauna cha ziada kumzidi mleta mada.
nimezingatia zaidi content ya reply yako!


Hahahaha
 
Kati ya watu wakurupukaji, wewe ni mkuu wao. Ama ulitaka nitangaze ajira, kwani mimi ni TAMISEMI..?
Uwe unatumia akili nyingi na nguvu kidogo.
 
Jamani tupeni mitaji na mtuhakikishie masoko ili tujoin mazima kwenye kilimo cha kufa na kupona.si mmegoma kutoa ajira?
 
TULIA HAKUNA AJIRA SERIKALI HII NDOO MJIFUNZE KUWA CCM NI ZOMBI
were jamaa siku wakitoa hizo ajira uje kutengua hiyo kauli yako.nahuenda hiyo serikali unayoita ya mazombi wamekuajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…