Usikurupuke kijana kupotosha umma. nyie ndio huwa mnasubili kuambiwa badala ya kuckiliza wenyewe.Limetoka tamko kuwa ajira za walimu wa sanaa na biashara hakuna. ... wawe wavumilivu
Hatari sana! Hapa Kazi Tu!hiyo ndio serikali sikivu ya ccm na ndio serikali sikivu ya rais wa wanyonge.
Lisemwalo lipo jamaa ,nikweli walimu wa sanaa wamezidi na ziada wapo 7000 ,je watawajiri ili wapelekwe wapi?na je hao wa mwaka wa pili,watatu vyuoni nini hatima yao?kwa mtazamo me naomba serkali isiwaache ila wawapeleke primary maana naamini huko kuna upungufu mkubwa kuliko secondary ,zen hizo program za walimu wa sanaa wazistopishe maana zinawatia tumbo jto walimu na vijana kwa soko la ajira.
Duuuu!.....Lisemwalo lipo jamaa ,nikweli walimu wa sanaa wamezidi na ziada wapo 7000 ,je watawajiri ili wapelekwe wapi?na je hao wa mwaka wa pili,watatu vyuoni nini hatima yao?kwa mtazamo me naomba serkali isiwaache ila wawapeleke primary maana naamini huko kuna upungufu mkubwa kuliko secondary ,zen hizo program za walimu wa sanaa wazistopishe maana zinawatia tumbo jto walimu na vijana kwa soko la ajira.