Cc Mpwayungu VillageHuu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe, ila hadi Leo mwaka unaisha hatuelewi interview itakwepo au laa, tunapeana tu propaganda mara, Tamisemi mara sekretarieti,wanatuumiza sana, wangetuweka wazi tu, roho zitulie
hilo jambo limekaa kisiasa zaidi,tunasubiri chaguzi za mwakani tena halafu tutatoa tangazo hakutakuwa na usaili tena wale wachache mtapita bila kupingwa ili mama apate kikiHuu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe, ila hadi Leo mwaka unaisha hatuelewi interview itakwepo au laa, tunapeana tu propaganda mara, Tamisemi mara sekretarieti,wanatuumiza sana, wangetuweka wazi tu, roho zitulie
Not easyWalimu mwakani mtapewa ajira, ila huu mwaka naona ni mwaka kwa ajili ya cadre ya Afya.( naona tamisemi wametoa ajira 400 za afya)
Tatzo wanatangaza ajira alafu inachukua longtime, kama walikuwa hawajajipanga wangeacha kwanzaHuu mwaka umekua mgumu kwa sisi walimu, tumeteseka sana kisaikolojia, toka January to December, tunasubiri ajira, japo tunajua hatuwez kupata wote ila tunatamani kuona hata hao wachache waajiriwe, ila hadi Leo mwaka unaisha hatuelewi interview itakwepo au laa, tunapeana tu propaganda mara, Tamisemi mara sekretarieti,wanatuumiza sana, wangetuweka wazi tu, roho zitulie
Soon pdf inatemaTatzo wanatangaza ajira alafu inachukua longtime, kama walikuwa hawajajipanga wangeacha kwanza
Sio kila wakati mtu anawaza kitu ambacho hakipo
Tetesi zitoke wapKwani hakuna tetesi huko?
Fua begiKwani hakuna tetesi huko?
Shida ndo hii kuvurugana tu akili kwan wangeacha kutangaza ss tungewafanyaje?Tatzo wanatangaza ajira alafu inachukua longtime, kama walikuwa hawajajipanga wangeacha kwanza
Sio kila wakati mtu anawaza kitu ambacho hakipo
Ss hatujawahi kutumika hvyo hao ni wenzetu waliopo kwenye systemNa nyie walimu sindo uwa mnashirikiana na CCM kuiba kula za wananchi
kila mtu abebe mzigo wake nendeni kwenye ofisi za Ccm mkalalamike
Walimu mnatumika km kondomu tu ukiwa unaenda mechi kondomu inakaa mfuko wa shati tena inatunzwa vzr ila baada ya Mechi kondomu inatupwa chooni au kichakani sasa ndo nyie walimu